Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Naam ndugu naomba mnipe mchanganuo wa milioni 20, je nifanye nayo biashara gani? Nb.kama huna cha kuchangia ni bora zaidi kuliko kuponda! NAWASILISHA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FURSA YA BIASHARA NI NINI? Watu wengi wamekuwa wakijiuliza biashara za kuanza kufanya, wakati mwingine kumekuwa na baadhi ya watu ambao huwa na kianzio cha biashara (mtaji), lakini hawafahamu ni biashara gani wataweza kufanya. Fursa ya Biashara (Business Oppurtunity) hutokana na mahitaji ya watu katika eneo husika; kwahiyo katika kutengeneza wazo la biashara (Business idea) huanza kwanza kwa kuchunuguza fursa zilizopo katika eneo husika. Baada ya hapo hufuata mpango wa biashara (Business Plan). Kwa hiyo unapofikiria ni biashara gani ya kufanya ni vyema kuchunguza mahitaji yaliyopo katika eneo husika (inaweza kuwa mtaani kwako, katika mji au hitaji la Taifa). Kwa kweli nchi yetu bado kuna mahitaji mengi ambayo yanaweza kutumika kama fursa ya biashara; hebu jiulize toka unapoamka ni mahitaji au shida kiasi gani umekutana nazo, naomba kuorodhesha baadhi ya maeneo ambayo tunaweza kuchunguza mahi!CRITICAL!
Biashara ambayo unaweza kufanya na kutajirika kwa haraka endapo utapata sehemu ni kufungua studio kwa mtazamo wangu[ studio ya aina gani kumbuka kuna studio za aina nyingi?
Upo mji gani na sasa hivi unajishughulisha na nini? una elimu kiasi gani? usione vibaya kuulizwa maswali haya kwa sababu inaweza kusaidia mtu anayetaka kukushauri. Kuna biashara nyepesi kama za kutoa bidhaa point A na kupeleka point B na hizi zinaweza kutegemea mahali ulipo. Kuna biashara zinazo hitaji taaluma, accounts nk unaweza pia kuanzisha kiwanda kidogo au labda upo shambani ukaweza kuingia kwenye kilimo cha kisasa cha ufugaji au kilimo. Mara nyingi unapata biashara inayotoa mtu ni ile alikuwa tayari na ufahamu kiasi au inayo eleweka kwa wepesi. Kuingilia kitu ambacho hauna experience nacho inaleta hasara kutokana na learning curve au kutojua. Pia kama una hiyo hiyo m20 ni muhimu labda ulenge kuanzisha biashara inayo hitaji m10 sababu biashara nyingi uzidi budget na hela inahitajika zaidi.[kiwango cha elimu yangu ni form 4, kwa sasa niko moshi
Tuna shamba wilaya mpya ya kilindi tunataka tuanze kulima. Kuna miti mingi ya mbao(hard wood) inabidi tuikate ili kusafisha shamba kama unaweza fanya biashara ya mbao (au unafahamiana na wanaofanya biashara ya mbao) tupo tayari kwa maongezi jinsi ya kushirikiana.[COLOR=RED[SOKO LA MBAO LIKOJE NDUGU] [COLOR/]
Tuna shamba wilaya mpya ya kilindi tunataka tuanze kulima. Kuna miti mingi ya mbao(hard wood) inabidi tuikate ili kusafisha shamba kama unaweza fanya biashara ya mbao (au unafahamiana na wanaofanya biashara ya mbao) tupo tayari kwa maongezi jinsi ya kushirikiana.[COLOR=RED[SOKO LA MBAO LIKOJE NDUGU] [COLOR/]
Kwa Dar soko la hardwood ni kubwa sijui huko Moshi.
Be careful hiyo ni pesa nzuri kuanza biashara nakuombea usjeingia mikono ya matapeli[ niko makini ndugu