Squubby2019
Member
- May 21, 2019
- 22
- 15
Natambua Kaka! Kwa hayo ya Block ndo inakuajeee?Dar hamna matofali ya kuchoma, nakukumbusha tu, ujipange
Unaweza hata kuhamia ukamalizia ukiwa ndani bila shida.Habari wadau! Naomba kuuliza ukiwa na TZS 20 Milioni na unataka kujenga nyumba ya Vyumba 3 na Master unaweza kuanza na kufika hatua Gani?
Ntashukuru kama mtanipa estimate za kila hatua
Asantee
Mpe details za nyumba ya wastaniHatua utakayofikia inategemea na aina ya nyumba unayoitaka.
3 bedrooms ni too general. Kuna 2 bedroom houses zipo expensive kuliko 6 bedroom houses.
Yaani swali ni too general.
Vitisho vimeanza. Nyumba zetu za kawaida anaweza kuhamia kabisa akaremba akiwa ndaniHatua utakayofikia inategemea na aina ya nyumba unayoitaka.
3 bedrooms ni too general. Kuna 2 bedroom houses zipo expensive kuliko 6 bedroom houses.
Yaani swali ni too general.
Hahahah ujenzi wa Mbeya huo au Mjini DaslamKwa nijuavyo mimi, endapo una kiwanja tayari. Hiyo 20m ni mpaka unaezeka, na ukiwa vizuri mpka grills umeweka.
Hapindishi ukuta lakini? Na mijengo ya kisasa ile anaiweza akipewa ramani tu?Nna fund ana bei za kawaida mno, labda nikupatie mawasiliano yake, yeye atakupa ushaur mzuri.
Mafund wa kisasa watakwambia mpaka kokoto ununue zile nyeusi wakat kokoto jiwe zipo kibao kigamboni, mara cement mifuko kibaoo, mafundi wenye uzoefu ni wazuri mno.
Uko sahihi sana.Hatua utakayofikia inategemea na aina ya nyumba unayoitaka.
3 bedrooms ni too general. Kuna 2 bedroom houses zipo expensive kuliko 6 bedroom houses.
Yaani swali ni too general.
Wala siyo vitisho mkuu,Vitisho vimeanza. Nyumba zetu za kawaida anaweza kuhamia kabisa akaremba akiwa ndani
Hiyo aina mbwembe. Imenyooka tu Kama madarasaHapindishi ukuta lakini? Na mijengo ya kisasa ile anaiweza akipewa ramani tu?
Hata Dar,Hahahah ujenzi wa Mbeya huo au Mjini Daslam
Hawawez wakakuelewa mkuu.Vitisho vimeanza. Nyumba zetu za kawaida anaweza kuhamia kabisa akaremba akiwa ndani
Kwa mtu anaye strugle na cash , hutakiwi kumpa options ngumu ngumuWala siyo vitisho mkuu,
Anaweza akamaliza kila kitu na hela kubaki, pia inaweza isitoshe.
Nyumba ni wewe unavyotaka, siyo watu wanavyotaka kwa sababu Tanzania hatuna codes tunazotakiwa tuzifuate.
Pia msipende kujibu maswali kiurahisi ili uonekane wewe ni mtu wa maana kwa sababu unampa mtu moyo.Hawawez wakakuelewa mkuu.
Kama mtu una kiwanja tayari, 20ml inakusogeza parefu mno kwa nyumba ya vyumba 3.
Wengi vitisho vya ujenzi ndo vinafanya kuchelewa kujenga.