Nina Milioni 45, msaada wanaJF

Hapana sijakosea unajua sisi mkopo kupata kwa kipindi iki kidogo ilikuwa ngumu kwahiyo ukipata nafasi ya kuchukua ilikuwa bora maana kila mtu alikuwa anawaza lake kutokana na janga la Covid

Yani kweli upele umewapata watu wasio kabisa
 
Mkuu kweli unachukua mkopo wa 45m bila kufanya tathmin yoyote!?
 
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA, USIJARIBU KUFANYA HATA JAMBO MOJA KATIKA HIZO IDEA ZAKO KAMA WEWE MWENYEWE HUTAWEZA KUSIMAMIA HIZO BIASHARA MUDA WOTE (SIO NDUGU YAKO AU WA MKE WAKO).

Kwa nature ya kazi yako, unahitaji kitu ambacho kitahitaji less daily operational activities, mfano ni kama nyumba ya kupangisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haya maisha nilikataa kabisa[emoji848]
Atleast mmoja wenu angekuwa hivi ila sio wote
Anyway am sorry kuwa too emotional kwenye maisha yenu[emoji3]
 
Usifanye ivyo.. Tafuta dereva anayeendesha gari.. Panda dala dala mbili tatu.. Dereva utayemwelewa ndio unamchua.. Linki umeziona? Angalia post yangu iliyopita ubonyeze hizo link.
 
Toa suluhisho sasa. Yaani taja angalau biashara kadhaa zenye sifa hizo tatu ulizotaja
 
Nimesoma kwa makini post yako lakini hujanishauri nifanye kipi na kipi niache ndugu
 
Usifanye ivyo.. Tafuta dereva anayeendesha gari.. Panda dala dala mbili tatu.. Dereva utayemwelewa ndio unamchua.. Linki umeziona? Angalia post yangu iliyopita ubonyeze hizo link.
Du mbn naona kama pagumu hapo ndug yani dereva nitoe tu barabarani bila kuwa na background yake kweli
 
Nasikitika kufahamu kuwa kuna mtu anaweza akachukua mkopo tena wa 45 million bila na plan yoyote ya kufanyia huo mkopo.

It sounds strange
 
Mimi huwa napingana na wanaojitangaza kupata fedha halafu hawajui wafanye nini?
Labda mtu awe chizi ndiye anaweza kutafuta then aanze kuomba ushauri wa namna ya kutumia au kaziongeza.
Hata ukikopa ni sawa na kusema kuwa umezitafuta.
Mara nyingi naamini kuwa mnakuja kutangaza ili kiwewe kiwaondoke.
Pesa hii mtu anauliza afanyie nini?
 
Nunua pagala.. limalizie kisha pangisha.. ama nunua kiwanja uswahilini
 
Reactions: amu
Nasikitika kufahamu kuwa kuna mtu anaweza akachukua mkopo tena wa 45 million bila na plan yoyote ya kufanyia huo mkopo.

It sounds strange
Wazo langu kubwa ni kuagiza gari ya biashara maana sina mda kabisa wa kufanya biashara nyingine maana kazini tukiingia asubuhi kutoka ni jioni kwahiyo nimejaribu kuangalia kama naweza kupata kidogo kitu cha kusogezea maisha yangu maana mshahara siku zote hautoshi ndugu je wew kwa kazi yangu ungenishauri nifanye kitu gani bila kuathiri utaratibu wa kazi .Maana naogopa biashara nyingine naona kuangukia pua kutokana na kukosa mda wa kusimamia
 
Natamani sana kukushauri sema shida hamna msimamizi wote mko kwenye ajira.hiy o hela ni nyingi sana kama ulikuwa umejiajiri au mke ana uzoefu wa biashara.
Ila kununua chombo cha usafiri uwe na moyo wa uvumilivu la sivyo unaweza pata presha ukafa [emoji3].
Babangu aliniambia siku moja kuwa ni bora ununue mkaa uuze na kopo kidog kidogo utaona faida kuliko hizi biashara za kudanganywa na watu wa fursa kama kulima matikiti cjui kununua bajaj....ni nzuri kama una uzoefu nayo ila kama huna hapo ni kama unacheza kamari.ukipata sawa na ukipoteza ni kama unajifunza
 
Mimi huwa napingana na wanaojitangaza kupata fedha halafu hawajui wafanye nini?
Labda mtu awe chizi ndiye anaweza kutafuta then aanze kuomba ushauri wa namna ya kutumia au kaziongeza.
Hata ukikopa ni sawa na kusema kuwa umezitafuta.
Aise usiseme hivyo ndugu sio wote tuliojaliwa huwezo wa kuwa na Idea za biashara wazo lako linaweza kuwa muhimu kwangu kwa kunikomboa mim pamoja na wanangu hakika ukiwa kwenye hizi kazi zetu za serikali unaweza kucheka sana ndugu na kusema kama unayoyaona ni maajabu lakini ndo ukweli huo kuna watu nafanya nao kazi mtu anachukua mkopo wa mil 25 ananunua gari la kutembelea angali ata kiwanja hana ukimuuliza kwanin usifanye biashara ukazalisha anakuambia anaogopa kupoteza pesa zake bora atembelee gari mengine baadae
 
Tafuta kuna Uzi wangu humu Wa kuomba mawazo kama wewe. MIE niliaamua kufanya kitu kimoja ivi. Nanunua Gari nampatia Dereva namuambia niletee Hela hii kwa miaka kadhaa baada ya hapo Gari ni ya kwako. Na hapo hakuna matengenezo ama kushikwa na majembe Hayo yote ni juu yake . mnaandikiana mktaba tu
 
Nunua pagala.. limalizie kisha pangisha.. ama nunua kiwanja uswahilini
Aise swala la kujenga haliko kwenye akili yangu kabisa maana nimeteseka sana mpka kuja kumaliza kibanda changu cha kuishi.
 
Ndugu mimi ndo naanza sina uzoefu aise je nikimpa akalipigisha kazi likaaribika alafu yeye akalala mbele mda wa kushinda mahakamani ntautoa wapi ndugu
 
Ndugu mimi ndo naanza sina uzoefu aise je nikimpa akalipigisha kazi likaaribika alafu yeye akalala mbele mda wa kushinda mahakamani ntautoa wapi ndugu
Naomba namba yako nikupigie tuongee ila sio kuwa nitakuomba Hela zako kaka. Nakupatia tu mawazo. Mana hata MIE Nilikuja kuomba mawazo humu afu nikajumlisha na ya kwangu ndo nikapata linalonifaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…