Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Vifaa vya simu mfano,protector,cover n.k
Ila hujasena mahali unapofanyia biashara.......
Ongeza uwakala wa NMB, NBC, na wengineHabarini ndugu zangu, mimi ni mjasiliamali mdogo wa tigo pesa, mtaji ninaozungushia ni laki sita ila nimepata milioni mbili nje ya biashara yangu, nahitaji ushauri jinsi ya kuboresha biashara yangu.
Nipo kwenye frame.
Pana umeme
Mzunguko wa tigo pesa ni wa kawaida, kwani kwa siku naweza fanya miamala mpaka arobaini
Je nibuni kitu gani kingine kwenye frame yangu ila kisiwe kitu kinachouzwa kwenye duka la vyakula kwani jirani yangu Ana duka la vyakula
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza uwakala wa NMB, NBC, na wengine
Haswaa akiwa anauza zile nywele zao za kisasa ...Frame c ni pana na inatosha..... Ongeza na urembo wa kina dada hutajutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Frame c ni pana na inatosha..... Ongeza na urembo wa kina dada hutajutia
Sent using Jamii Forums mobile app
correctOngeza uwakala wa NMB, NBC, na wengine