Nina milioni mbili nataka nimfungulie biashara mke wangu,je itatosha?

Nilikuaga na mchumba wangu nikamfungulia biashara mtaji 10mil. Alikua ananunua vitu kwa Amina fashion. (Masista wengi wanamfahamu huyu anti) basi siku moja alimvuta pembeni akamwambia bibie kwa jinsi ulivyo hizo hela sio mtaji wa biashara, ni kwa ajili ya pampers na maziwa ya mtoto!

Nilimwangalia yule malaya na sijammaliza mpaka kesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…