Nina milioni moja nataka niiweke UTT Amis, ushauri wenu tafadhali

Milioni 1 UTT hapo mwaka mzima unatafuta faida ya laki

Hiyo hela bora ufungue genge la kisasa la mboga mboga hapo mtaani kwako, ndani ya mwaka utapiga faida mara 20 ya hiyo ambayo UTT itakupa

Pia hiyo taasisi usiiamini sana, hata kama ipo chini ya serikali... kumbuka ni serikali ya bongo ndo tunaiongelea hapa
 
Kuna hela ndefu nataka niweke huko naogopa YANI.. Kuna siku tutaambiwa t7nakutunzia kama aanavyofanyiwa wastaafu
 
Wakuu habarini na milioni moja yangu nataka niiweke yote UTT.Maoni yoyote kabla sijafikia huu uamuzi

chukua hiyo
 
Back
Top Bottom