Nina milioni tano nataka kuagiza gari Japan

hela nyingi sana hiyo kaka, ongezea tu kama milioni tatu ya kutolea gari bandarini.

kwa milioni nne au tano unaagiza gari hizi:

TOYOTA Pixis Epoch G, 2010>
HONDA Life G, Zest 2010>
NISSAN Moco, Otti 2010>

DAIHATSU Mira, Move, Esse 2010>
SUZUKI Alto, Wagon R, Palette 2010>
SUBARU Stella, Pleo, Lucra 2010>
MITSUBISHI EK Wagon 2010>
MAZDA Carol 2010>
 
Mil 10 pamoja na gari au kodi tuu?
Gari haziuzwi bei moja,, zinatofautiana. Ila kwa wastani wa sasa, kuleta gari bajeti ya chini sana ni 10 hadi unaitoa.... Hapo tunazungumzia babywalker na baadhi ya SUV's kama Xtrail na Sedans kama premio, Allion etc, ila kwa gari zingine nzuri utatakiwa uplus zaidi pesa juu ya hiyo 10.

Mfano unaagiza Rav4, harrier, Subaru forester Tx itakubidi uwe na kama m15+
 
Ongeza milioni tatu ukachukue chuma mpya Funcargo au Suzuki Cary .
Kampuni inaitwa Janjapan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…