Nina miti 10 ya maembe naikata kama kuni ambaye yupo interested karibu

3500

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
74
Reaction score
132
Habari. Shambani kwangu nina miti ya maembe 10 ambayo haizai Tena nimeamua kuikata. Kwa ambaye anafanya biashara ya kuuza kuni kwa wingi anakaribishwa kuja kununua miti hii.

Iko miti 10 kila mti nauza sh 20,000. Ukija utakatiwa kwa kila mti sh 5000 kama tu posho ya mkataji wangu. Ukishakata gharama za usafiri ni juu yako.

Nataka safisha shamba langu. Eneo lipo kibaha mkoa wa pwani. Ni PM namba yako kama upo serious.
 
Weka namba yako hapa tukupigie. PM huko hakuna usalama
 
Kibaha ipi
 
Ipo miti 10. Ni Ile mbegu za kisasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…