Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 386
- 514
Siuzi Hii miwani naitoa bure nilikosea kuagiza nikajikuta nimeagiza ya macho kipimo chake ni myopia -1.00 hivo mwenye kipimo hicho anitafute nimpe bure nipo Dar es Salaam 0657977457
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
je ni chako hiko tajwa hapo juu bossmyopia 1.00 noted... nina mwaka wa 3 natumia mawani lakini sijui kipimo changu