Nina miwani ya macho hapa naitoa bure. Ina kipimo cha Myopia -1.00. Sina uhakika kama ni ya macho, nilikosea kuagiza

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
386
Reaction score
514
Siuzi Hii miwani naitoa bure nilikosea kuagiza nikajikuta nimeagiza ya macho kipimo chake ni myopia -1.00 hivo mwenye kipimo hicho anitafute nimpe bure nipo Dar es Salaam 0657977457


 
myopia 1.00 noted... nina mwaka wa 3 natumia mawani lakini sijui kipimo changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…