Asante sana sound proof kumbe hata mafundi sofa wanatengeneza?I. Sound proof inategemea kuna special na za magodoro. Ukipata fundi sofa mzuri anaweza akatengeneza nzuri,
Zile za duka zinauzwa kwa Squire feet. Check ebay zipo kibao
II. Camera, zipo kama unataka za video Tafuta DSLR Canon Camera Kwa used andaa Budget kuanzia 2.5 Milion.
III. Piano/ Kinanda inategemea unataka cha Kazi gani. Kutengeneza musiki au kufanya live performance.
Kama ni kutengeneza Music tafuta Yamaha kuanzia PsR s.710 hadi 950 budget andaa 2Milion hadi 4m
Kama ni live performance tafuta Yamaha Motif Seriea, Korg Triton au Kurzweil Hutajutia
Bila shida mkuu tafuta Idea mpelekeeAsante sana sound proof kumbe hata mafundi sofa wanatengeneza?
Asante sana ubarikiwe mkuu
Sijajua kama utakuwa unatumia You tubeJe, mkuu mbali na sound proof, piano , camera, computers na mic
Je, kuna vitu vingine vikubwa navyopaswa kuna navyo ili kukamilisha studio ya online television?
Kuna tofauti kati ya soundproofing na acoustic treatment. Sound proofing ni kuzuia sauti ya ndani isitoke nje na ya nje isiingie ndani, acoustic treatment ni kuzuia reflection ya sauti ndani ya studio. Mara nyingi watu huwa wanachanganya sana na hii inapelekea mixing nyingi kuwa chini ya kiwangoAsante sana sound proof kumbe hata mafundi sofa wanatengeneza?
Nikupongeze mkuu kwa kuwa na wazo hilo zuri. Binafsi ningependa kutoa maoni/ushauri hususani kwenye studio kwa kuwa nina uzoefu nayo na nmefanikiwa kuwa na studio pia. Kwanza kabisa uwekezaji wako mkubwa utumike kwenye vipaumbele vifuatavyoHabari
Rejea mada tajwa hapo juu nafahamu humu jf tupo watu Wa fani mbalimbali hivyo ndio maana nimeleta mada hii nikijua nitapata majibu kwenu
Nina mpango mkubwa Wa kuanzisha studio ya muzuki wa injili na online television
Naombeni msaada wenu kwa yeyote anaejua bei za vitu hivi inacost shilingi ngapi naomba anisaidie kunifahamisha
(I) Sound proof
(II) camera zenye uwezo Wa kirekodi video
(IIII) Piano
Vile vile kwa wenye uzoefu naombeni mnisaidie ni vitu gani na gani napaswa kuna navyo ili niweze kukamilisha mpango wangu na ndoto zangu hizo za siku nyingi
Nitashukuru kwa maoni yenu
Asante sana nitumie namba yako ya WattsupNikupongeze mkuu kwa kuwa na wazo hilo zuri. Binafsi ningependa kutoa maoni/ushauri hususani kwenye studio kwa kuwa nina uzoefu nayo na nmefanikiwa kuwa na studio pia. Kwanza kabisa uwekezaji wako mkubwa utumike kwenye vipaumbele vifuatavyo
1. Watu watakaohusika kuoperate studio( maana studio nyingi zimekufa kutokana na watu kukosa weledi au kuwa na maslahi binafsi)
2. Vifaa vitakavyotumika studio. Kwa uzoefu wangu vikinunuliwa mara moja huweza kukaa muda mrefu mpaka vitakaponunuliwa vingine na hapa itakubidi kuwa na vifaa vinavyoendana na wakati huu maana zama zimebadilika. Ninaweza kukupatia list ya vifaa vinavyohitajika ili kuepuka kununua vifaa visivyo na ulazima kwa sasa
3. Acoustic treatment. Kama ndugu hazchem plate alivyosema, unaweza kuagiza fundi sofa akutengenezee japo binafsi nahisi ni vyema kuunda zile zinazohamishika ( zinaundwa kwa kuweka frame ya mbao iliyowambwa na kitambaa cha sofa na kuwekwa godoro ndani kisha zinashikizwa ukutani na nati ili iwe rahisi kuhamisha
Kwa leo niishie hapa ila usisite kuwasiliana nami kwa maelezo zaidi.
Thank you nitakutafutaNina idea za vipindi vya channels za gospel mpaka nmechoka kuandika sasa, mkuu studio ikiwa tayari usinisahau kwenye ufalme wako ntafutahi kufanya patnership na wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nashindwa kkuPMAsante sana nitumie namba yako ya Wattsup
Habari
Rejea mada tajwa hapo juu nafahamu humu jf tupo watu Wa fani mbalimbali hivyo ndio maana nimeleta mada hii nikijua nitapata majibu kwenu
Nina mpango mkubwa Wa kuanzisha studio ya muzuki wa injili na online television
Naombeni msaada wenu kwa yeyote anaejua bei za vitu hivi inacost shilingi ngapi naomba anisaidie kunifahamisha
(I) Sound proof
(II) camera zenye uwezo Wa kirekodi video
(IIII) Piano
Vile vile kwa wenye uzoefu naombeni mnisaidie ni vitu gani na gani napaswa kuna navyo ili niweze kukamilisha mpango wangu na ndoto zangu hizo za siku nyingi
Nitashukuru kwa maoni yenu