Huwa wana upgrade kwa 7 days tu.Daah mimi sijui hata nna mpango gani na dstv,walisema ulikilipia kufurushi chako kabla hakija expire wana ku-upgrade(nimelipia compact plus nikajua watani-upgrade kwenda kwny premium).
Lkn sababu jamaa wametuona wateja wao ni mafala hawaja upgrade wale nini na hakuna tangazo lolote,na mimi nawacheki tu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
dodge
Huwa wana upgrade kwa 7 days tu.
Naipataje hii boss wanguTorrent walishaaniwezesha nimeiangalia nyumban kwangu vizuri kabisa bila bugudha
Sent using Jamii Forums mobile app