Nina mpango wa kufungua mradi wa mikopo midogo (Microfinance), naomba ushauri

Nina mpango wa kufungua mradi wa mikopo midogo (Microfinance), naomba ushauri

KIJANA2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
466
Reaction score
201
Habari wana JF,

Ni imani yangu kuwa hapa tunakutana watu wa aina mbalimbali na wenye elimu na utaalamu mbalimbali. Nina mpango wa kufungua huduma za kutoa mikopo kuanzia mikopo midogo, ya kati na hata mikubwa. Lakini kabla sijaanza hiyo kitu, nachukua nafasi hii kuwaomba msaada wenu kuhusu taratibu za kufuata ili kufungua microfinance, changamoto za kuendesha microfinance na gharama za kufungua microfinance.

Gharama namaanisha mahitajio mbalimbali kama vili computer, meza nk. Mtaji tayari ninao. Iwapo nitampata anaye endesha biashara hiyo nitashukuru sana.

Natangulisha shukrani zangu za dhati kwa kila mmoja atakayeweza kunisaidia kwa njia moja au nyingine. Mola awabariki.
 
Nenda pale ardhi university uliza microfinancial ya wana masawe atakupa maujuzi yote
 
Itabidi uwe bandidu sura ya mbuzi,bila hivyo watu biashara itakufa
 
Back
Top Bottom