Nina mpango wa kurudi darasani nikiwa na umri wa miaka 27 sasa

elimu ni bahari, nenda karudie paper ya form 4, ukimaliza ingia Diploma

Utamaliza diploma ukiwa na 32

Form 4 - 2026
Diploma - 2027 - 2030
Nitafanya hivyo mkuu
 
Bahati mbaya sina mchongo unao niingizia kiasi hicho Cha pesa Kwa siku. Kama una idea tamu namna hiyo usiache kushea mjomba.
Ndio utafute sasa mchongo unaoweza kukuingizia at least 100,000 kwa siku uufanye 100,000 × 30 = 3,000,000 unajilipa sawa na mtu mwenye PhD pale Chuo fulani na utakua unamzidi mshahara plus malupulupu
 
Mpaka umalize utakua ushafikia umri wa kustaafu.
 
Mkuu msaada kidgo mm n diploma natak kujiendelez kupta degree ,wazo nililo nalo nitafute open nisome au niende chuo kbsa ushauri hpo mkuu?
 
Naunga mkono hoja ya kujiendeleza kielimu, ila USITHUBUTU kurisiti pepa ya Form 4, hasa upande wa sayansi.
Kama una D 4, achana na kurisiti, njoo OPEN tupige diploma za fani za biashara, kisha degree.

USITHUBUTU KURISITI PEPA upande wa sayansi.
Utakula ndoige za maana mpaka utaiomba radhi NECTA.
 
Hawa Open nimewasikia sana, ngoja niwafuatilie zaidi
 
hakuna shida kusoma huku ukiwa unaendelea na mishe zako, ila kuacha mishe eti ukasome hapo sikushauri mkuu.
 
Kaka kwanza salamaleko ndugu yanguu,

Nataka nijue kuhusu kipato/ biashara ama kilimo unafanya nini cha kukuingizia kipato.?!

Mimi nakushaur izo nguvuuuuuuuu uzitumie kuwekeza kwa WATOTO wako...weka DREAM zako kwa wanao maaana Kuna ndoto zikipita inaitajika bloodline Yako iitimizee

kwa Sasa wewe itakuchukua miaka si chini ya 10 kuweza kufanikisha hili pia kusoma kunaitaji usiwe na MAJUKUMU mengi mengi... Kama huna msingi mzurii itakubidi wakati mwingine kukaririi kama kasuku.. elimu inaitaji utulivu ndugu otherwise itakuwia vigumu otherwise wewe ni kipanga.

Nb. Nikuitie moyo ndugu maana UNDER DETERMINATION ONE CAN TURN A DESERT INTO EVERGREEN FOREST..

PIA AMBITION IS A DREAM WITH A V8 ENGINE hivyo unaweza kupambana na ukatimiza lengo lako la kielimu go go go go pigania ndoto yakoooooo
 
F ya math kweli???🤣🤣🤣🤣 unatakiwa uanza kufundisha pre- school kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…