stephenga
Member
- Sep 15, 2022
- 72
- 173
Guys nina plan ya kusoma PhD nje ya nchi lakini nikitegemea zaidi nipate udhamini.
Ningependelea kusoma nchi za ulaya au America kutokana na quality ya elimu yao pamoja na fursa, haswa Nordic countries.
Najua umu kuna watu wanaelewa vizuri wengine wana practical experience namna ya kupata opportunity za PhD nje.
Ningeomba mnisaidie mawazo na kunipa knowledge.
1. Vyuo vipi ni rahisi kupata kwa tunaotokea nchi kama Tanzania.
2. Namna gani naweza kupata financial support.
3. Njia nzuri za kufikisha maombi ya PhD (nimesikia kuna baadhi ya nchi hawatangazi kuna njia tofauti za kuomba)
4. Documents gani muhimu nje ya vyeti zinazohitajika sehemu nyingi.
5. Information yoyote itayonisaida kufanikisha adhma yangu.
Nategemea kusoma PhD ya Early Childhood Education specialising kwenye children with disabilities, communication disorder to be specific.
Najua jukwaa lina watu wema na wenye kupenda kuona kila mtu ananyanyuka.
Nawakaribisha sana kwa michango.
Shukrani!
stephenbinmat@gmail.com