Basi jibu unalijua.Mbona miparachichi mingine haiwi hivo wakati imepakana tu kama mita tatu
Basi jibu unalijua.
Mtaalamu amefanya kazi yake. Kwani kwenu ukiugua malaria na ndugu zako huugua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dawa za kupiga pindi mti unapotoa maua, na kuna mtego wa kukamata nzi(fruit fly). Nzi hutoboa tunda likiwa changa na kutaga mayai ndani yake. Hii husababisha tunda kuoza.Ndugu wadau wa kilimo, habari za majukum
Niende kwenye lengo, ninampatachichi ambao huzaa matunda mengi ila una tatizo la kuozesha matunda yake, uozo unaanzia ndani kwenye mbegu kuja nje ya tunda. Je, nifanye nini ili kuzuia hii hali. Uzao wa tatu sasa lakini tatizo ni lilelile. Naombeni msaada.
Nawasilisha
Kunamtu amenishauri nichukue misumari niugongelee mche walau mitano hivi utakaa sawaKuna dawa za kupiga pindi mti unapotoa maua, na kuna mtego wa kukamata nzi(fruit fly). Nzi hutoboa tunda likiwa changa na kutaga mayai ndani yake. Hii husababisha tunda kuoza.