Nina Msingi Wa Laki Tano Nataka Kufanya Biashara Ya Dagaa Wa Kavu.

Nina Msingi Wa Laki Tano Nataka Kufanya Biashara Ya Dagaa Wa Kavu.

BATENDA

New Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Kwa Mda Mrefu Nilikua Na Ndoto Ya Kufanya Biashara Ya Dagaa Wa Kavu Kutoka Mafya Kuja Dar.Zoezi Langu Lilishindikana Sababu Ya Mtaji,kwa Sasa Nimesaidiwa Tsh Laki Tano Ili Niweze Kufanya Biasha.Bado Pesa Hzo Nataka Kuzielekeza Ktk Biashara Hyo.Naomba Ushauri Kwa Wataalamu Juu Ya Biashara Hii.
 
Back
Top Bottom