Nina mtaji mil 5 nifanye biashara gani?

Huko ulikoipata hiyo 5 endelea nako mpaka ifike 100, ndiyo uje hapa kutaka ushauri.
 
Siondoki soon naanza kujiestablish kwanza then baadae nitasepa
 
pambana na huyo bosi wako wewe mpaka kieleweke
Nimejaribu sana naona jamaa ananifanya niichukie kazi yangu
Wakati nafanya kazi nikicreate cv yangu
We mtu anakukabidhi jukumu akiona umeperform kupita malengo,juu kwa juu anampa mwingine
Sasa si bora nisepe tu
Nguvu nazotumia govt wacha nizitumie kujinufaisha binafsi kabla sijachoka
 
Usiache kazi watu tunatafuta kazi mzingue na wewe kama anakuletea shida
 
anza biashara mdogo mdogo wakati uko kazini..ukiona inaenda poa ndio uache halaf haya mambo ya kujifanya mchapa kazi achana nayo we nenda job kutimiza tu siku labda huyo bosi anakuona unatishia cheo chake anakupotezea...hayo ni nambo ya kawaida makazini
 
biashara ya kuuza chakula kilichopikwa inalipa sana
 
And thas my dream
Sijifanyi mchapakazi Mimi niko hivo coz am creating my future sishindan na yeyote
Ilaukinipa jukumu ntatekeleza niko hivo
Nikisema niende kilocaloca hata kazin huwa siend
I need a purpose in life
It's either I perform or undeperfom
Nimelelewa hivo kudeliver
I always win or lose
Siachi saivi naandaa mazingira ya kampuni yangu
 
Fanya bsness ya kuni ndg......... Hutotumia hela zako zte na faida iko kubwa.... Mchanganuo n hv kwa milion mbili utapata mizigo 120 ya kuni Sawa na kuni 3000........ Mjini kila kuni n buku so utapata milion Tatu au hta na zaid.... Cha muhimu n kuwa Makin anaekuletea mzgo utimie na ulinz uwepo utapoziweka......... Ni vizur ka utaeza kwenda jionea mwenyew....... Ni biashara nzur weng hawajui......... Vibal n Juu ya mletaji...... Karbu 0685580057
 
Reactions: SDG
Mi nafikiri huu uzi ungeunganishwa na yule mwenye anauliza ana 6M afanye biashara gani CC mods
 
Kuna ambao hawajaifahamu forex au ambao wameisikia ila bado hawaamini ni njia halali ya kujipatia fedha.

Watanzania wengi hawaifahamu tofauti na wenzetu walioko Nigeria na Southafrica. Wabongo wanaoijua hufaidika kwa siri bila kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki. Tusiwe wachoyo wa kuonyeshana fursa.

Muda unaopoteza whatsapp, facebook na instagram ungeutumia kujiingizia kipato, ni biashara hali inayofanywa na mabenki yote Duniani na sasa individuals kama wewe wanaweza kushiriki kupitia Broker. Mwisho wa mwaka utapeleka faida gaio la faida yako TRA.

Kwenye simu yako nenda google store download app inaitwa meta-trader 4 (sio 5). Pia unahitaji kua na laptop ingawa si lazima kwa hatua ya mwanzo. Ili kusaidia wasioifahamu tutatoa mafunzo ya mwanzo introduction to forex bure.
(1) Kuelimisha kuhusu forex.
(2) Kuwawezesha kutumia forex
(3) Kufaidika na forex

Kwa wale wazoefu wa forex; tunatoa msaada wa strategy ambayo ni price action and quarter theory for analysis

We are using price action and quarter theory for analysis in the larger time frame and the BTMM method for a good time and position to enter trades (sniper entries).
You will need three templates on your laptop.
1) BTMM template,
2) Quarter theory lines drawn manually or by indicator
3) Price action support and resistance lines drawn on each pair.
*Install TDI indicator on your phone

Bonyeza link kujoin Telegram Channel na Group (Download Telegram kutoka google app. Whatsapp haifai inalimit ya member, Telegram haijai/no limit)

Signature Traders (BTMM)

Signature Traders Tz (BTMM)

Asanteni
 
Kwa hakika wabongo sasa ni life story tellers ingekuwa tuna implement hizo stories in real life tungekuwa mbali mnoooo. Latoya nadhani ulishaweka msimamo tayari, hapa umekuja tu kutujulisha kuwa tayari uko na gari na nyumba na una kazi na kwamba sasa unaenda kuanzisha real estate. Hongera sana kwa maendeleo hayo ushauri wangu ni kuwa kwa Mil tano tafuta Office nje ya mji na uhakikishe kuwa hizo tigo pesa ndio zinakulipa kodi na umeme wa office. Nakutakia mafanikio mema.
 
Latoya boss anataka mchezo huyo, we mpe tu ataacha kukubana bana..just kidding!
Well i know you got dreams but kuacha kazi moja kwa moja zama hizi sikushauri.

Biashara ni ngumu mno kuliko unavyoweza fikiri hasa for starters ingawa inategemea na aina ya biashara, ukifanya biashara za convenient products waweza sogea though mzunguko wa hela umekuwa mdogo mno usihadaike na success stories za baadhi ya raia humu. It might have taken them years to break-even hatimae wakaanza ona margins zikikua!

You can do a parallel transition kutoka gov. to entrepreneurship ila usifanye direct shift kama unavyotaka. Inconveniences ni nyingi sana biasharani. Sikutishii ila kiukweli sahivi hata wauza mayai road wanaisoma namba!
 


Forex is Zero Sum Trade


Anaepata faida kwenye Forex ni kwa sababu kuna aliyepata hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…