We nawe nyumba si hata chumba na sebule ni nyumba au?kagari kenyewe vits, ishu nikupata wala la biashara ya kunikeep busy nisipoteze ndoto yanguKwa hakika wabongo sasa ni life story tellers ingekuwa tuna implement hizo stories in real life tungekuwa mbali mnoooo. Latoya nadhani ulishaweka msimamo tayari, hapa umekuja tu kutujulisha kuwa tayari uko na gari na nyumba na una kazi na kwamba sasa unaenda kuanzisha real estate. Hongera sana kwa maendeleo hayo ushauri wangu ni kuwa kwa Mil tano tafuta Office nje ya mji na uhakikishe kuwa hizo tigo pesa ndio zinakulipa kodi na umeme wa office. Nakutakia mafanikio mema.
Nadhani wengi hawajanielewa,sina lengo la kuacha kazi instantlyLatoya boss anataka mchezo huyo, we mpe tu ataacha kukubana bana..just kidding!
Well i know you got dreams but kuacha kazi moja kwa moja zama hizi sikushauri.
Biashara ni ngumu mno kuliko unavyoweza fikiri hasa for starters ingawa inategemea na aina ya biashara, ukifanya biashara za convenient products waweza sogea though mzunguko wa hela umekuwa mdogo mno usihadaike na success stories za baadhi ya raia humu. It might have taken them years to break-even hatimae wakaanza ona margins zikikua!
You can do a parallel transition kutoka gov. to entrepreneurship ila usifanye direct shift kama unavyotaka. Inconveniences ni nyingi sana biasharani. Sikutishii ila kiukweli sahivi hata wauza mayai road wanaisoma namba!
Shukran na ndio ndoto yanguFanya kitu unachopenda.
Forex tena hahahah am sorryKuna ambao hawajaifahamu forex au ambao wameisikia ila bado hawaamini ni njia halali ya kujipatia fedha.
Watanzania wengi hawaifahamu tofauti na wenzetu walioko Nigeria na Southafrica. Wabongo wanaoijua hufaidika kwa siri bila kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki. Tusiwe wachoyo wa kuonyeshana fursa.
Muda unaopoteza whatsapp, facebook na instagram ungeutumia kujiingizia kipato, ni biashara hali inayofanywa na mabenki yote Duniani na sasa individuals kama wewe wanaweza kushiriki kupitia Broker. Mwisho wa mwaka utapeleka faida gaio la faida yako TRA.
Kwenye simu yako nenda google store download app inaitwa meta-trader 4 (sio 5). Pia unahitaji kua na laptop ingawa si lazima kwa hatua ya mwanzo. Ili kusaidia wasioifahamu tutatoa mafunzo ya mwanzo introduction to forex bure.
(1) Kuelimisha kuhusu forex.
(2) Kuwawezesha kutumia forex
(3) Kufaidika na forex
Kwa wale wazoefu wa forex; tunatoa msaada wa strategy ambayo ni price action and quarter theory for analysis
We are using price action and quarter theory for analysis in the larger time frame and the BTMM method for a good time and position to enter trades (sniper entries).
You will need three templates on your laptop.
1) BTMM template,
2) Quarter theory lines drawn manually or by indicator
3) Price action support and resistance lines drawn on each pair.
*Install TDI indicator on your phone
Bonyeza link kujoin Telegram Channel na Group (Download Telegram kutoka google app. Whatsapp haifai inalimit ya member, Telegram haijai/no limit)
Signature Traders (BTMM)
Signature Traders Tz (BTMM)
Asanteni
Forex tena hahahah am sorry
Si nasoma kila leo watu walivyolizwa humu halafu nami niingie kama nyumbu lolha ha ha mbona umeshtuka forex