Nina mtaji wa 200,000 nifanye biashara gani?

Nina mtaji wa 200,000 nifanye biashara gani?

Kijana wa nyumbani

New Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Nimemaliza chuo x hivi karibuni nikaomba ajira naona hazieleweki

Sasa kwenye akiba yangu Nina shilling laki mbili Sasa hapa sijui nifanye biashara gan kwa mtaji huu

Msaada tafadhar wakuu nipo iringa mjini

#ukifight inawezekana
 
Biashara ya kufanya angalia hapo wana iringa wanahitaji nini na uwaletee, shida yao mtaji kwako.

Kukuuuu [emoji239][emoji239][emoji239]
 
Tembelea minadani vijijin uko, daka kuku then uje uwauze sokon au fungua ofisi sehem iliyochangamka uwe unachinjisha kuku mwenyewe utapiga pesa mkuu
 
Iringa huko viazi vingi,kwakuw umetoka chuo unaconection na watu mbalimbali,tafuta mtu wa wa tanga utuletee mzigo,kwa maelezo zaid nitafute
 
Back
Top Bottom