raisi wa dar
New Member
- Jan 21, 2025
- 2
- 5
Najiuliza pia ila wauzaji wapo na wanapga kaziNaona kama risk. Watakula kweli hao Chips kavu Buku Jero?
Kwaiyo sehem zote mbili upoNjoo Tanga achana na Ubenani huko,Mimi nimezaliwa hapo....Au Zanzibar njoo nikuoneshe Cha kufanya.
rais wa manzese nasikia watu wa njombe wakiwa na jero anaweza kupata sahani kumi za chips kavuHabari za muda wana JF,
Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe.
Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips.
Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa kwa hapa? Na kama inalipa, ni location gani nitafute eneo naweza kukimbiza sana?
Nimewaza hii biashara kutokana na mtaji wangu. Pia nimesikia kuna chuo cha UDOM kinataka kufunguliwa, kwa hiyo wanafunzi watakuwa wengi.
Ila kikubwa, wazoefu naombeni mnipe ABC za hiyo biashara kwa hapa Njombe. Nitashukuru sana. Pia hata kwa biashara nyingine mnaweza kunishauri, maana sina mtu sahihi wa kunishika mkono.
unataka kumfundisha namna ya kutengeneza na kuuza majini ?Njoo Tanga achana na Ubenani huko,Mimi nimezaliwa hapo....Au Zanzibar njoo nikuoneshe Cha kufanya.
jini mtu huyoKwaiyo sehem zote mbili upo
Simuelew kwakwelunataka kumfundisha namna ya kutengeneza na kuuza majini ?
Changia mada au haupo njombemleta mada mwingine mwenye kuandika mada mwingine!
Sio kwelii chips kavu buku jero kwa buku mbilirais wa manzese nasikia watu wa njombe wakiwa na jero anaweza kupata sahani kumi za chips kavu
Sahani ya chips inaanzia buku.Sio kwelii chips kavu buku jero kwa buku mbili
yaani Tanga ninunue chips kavu buku bee na njombe bei iwe hiyo hiyoSio kwelii chips kavu buku jero kwa buku mbili
Mkuu wew upo njombeKabla hujaanza hiyo biashara jaribu kuomba kazi kwa hao wauza chipsi hasa mtaa wa dhambi ( national, mgendera, kwivaha ) piga kazi kama wiki hivi ndiyo utajua mwenendo mzima wa biashara.
Maeneo mazuri kwa hiyo biashara ni mitaa ya msikitini maana kuna pub nyingi na wapenda starehe sana,
Pia mtaa wa chaugingi nako panafaa sana
Na mtaa wa buguruni
Ambapo utahitajika kuwa na huduma safi kuvutia vijana na mabinti.
Yeah of course naplan pawe pakishuaKabla hujaanza hiyo biashara jaribu kuomba kazi kwa hao wauza chipsi hasa mtaa wa dhambi ( national, mgendera, kwivaha ) piga kazi kama wiki hivi ndiyo utajua mwenendo mzima wa biashara.
Maeneo mazuri kwa hiyo biashara ni mitaa ya msikitini maana kuna pub nyingi na wapenda starehe sana,
Pia mtaa wa chaugingi nako panafaa sana
Na mtaa wa buguruni
Ambapo utahitajika kuwa na huduma safi kuvutia vijana na mabinti.