King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Chukua kinachokufaa sharing is caringSawa japo cjakuelewa mada na ulivyovielezea
Sawa mkuuElimu Elimu ELimu.
Chips wauzie watu wa DAR.
Mkoani tena nyanda za juu kusini ambapo viazi vinapolimwa ndiyo unataka uwauzie Chips?
Tafuta biashara nyingine ,wa mikoani wanapenda sana nguo na electronics.
Ingia field upate utamu wa ngoma.Acha mbambamba!!!Research nimefanya kwa jamaa Mmoja anauza hiyo BIASHARA siyo yake lakin inafanya poa kanipa mrejesho na yeye hana hela tu ila alikuwa anatamn sana kufanya hio biashra
Marked āIngia field upate utamu wa ngoma.Acha mbambamba!!!
Unataka uanze biashara kwa stori za kijiweni,acha utani.
Tafuta kijiwe hapo cha chips kula deiwaka ya kumenya viazi kwa mwezi mmoja hapo ndipo utajua mbivu na mbichi ya hiyo biashara.
Na hiyo mentality ya kuanza biashara kisa unawaza faida kubwa utalost!!!
Unahisi kwanini wachaga au wakinga wanaziweza sana biashara za maduka.Unahisi wnatoka kishumundu chapu akifika mjini anapewa mtaji akafungue duka???!!!.Elimu ya buashara husika ndio funguo ya kuwin.Acha kuota mchana stuka utajikojoleaš
"BIASHARA NI ZAIDI YA FAIDA"