Nina mtaji wa Milioni 5, nawaombeni msaada wenu wa mawazo

Nina mtaji wa Milioni 5, nawaombeni msaada wenu wa mawazo

TURUFUDUME

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
70
Reaction score
39
Mimi ni kija wa kiume, nipo Dareslam Msasani nimepewa mtaji wa milioni 5 ni familia niizungushe kwa masharti niwe natoa laki moja kila mwezi kwa ajili ya kuwasaidia wazee wawili ilikuwasaidia, huwo mtaji itakuwa wa kwangu.

Je ni biashara gani ambayo naweza kuifanya ya milion tano mtaji ukakuwa nå kuweza kutoa laki kila mwisho wa mwezi bila ya kuathiri mtaji wangu? Natanguliza shukrani.

Mawazo yenu ni muhimu sana kwangu
 
mkuu hebu jaribu kutumia kama nusu saa tu kusoma posts za watu mbalimbali kwenye jukwaa la biashara na uchumi lazima utatoka na wazo la kuanzia. kisha uje utupe mrejesho wa biashara gani umefikiria kuianza
 
Biashara zipo nyingi sana, labda ungesema we umesomea fani gani ili uweze kufanya biashara ndan ya fani yako, coz utakuwa na ujuzi zaid, na je ulikuwa na idea gan ya biashara
 
izo pesa za masharti au hao wazee wawili ni ndugu zako au

Ni miongoni mwa wazee ( wajomba) kwa hio kwenye familia kuna km watu watatu hivi wameshafanikiwa kimaisha kwa hio wanataka kusaidia familia kwa staili hio.
 
Back
Top Bottom