First of all jifunze kwanza pesa ni nini? Ijue pesa kwanza, jifunze ubahili, ubinafisi, uchoyo, ukatili,uvumilivu unapokalia moto! roho mbaya, budget, kujitegemea, kutomwamn mtu,
Ukifuzu hayo nione nikusaidia kuchagua aina ya fursa ya kwenda kupanda hiyo 5m!