Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Mkuu mm nimezalia tarehe 9 mwezi July Nipe madini
Nahs wewe ni cancer...watu kama wewe mnajali sana familia zenu kama watoto, mke, wazaz na ni very caring...sema mko moody ukikasirishwa kidogo unanuna hata mwaka mzima [emoji23]...pia mko very intellgent na wabunifu wa vitu...

Marehemi baba yangu alikuwa na nyota kama yako ndo maana imekuwa rahs kujua kidogo
 
Hatari mno
 

Shukrani mkuu kwa madini kuna vitu ulivyovitaja hapa ninavyo kwa 100%, ila hilo kuhusu kununa aisee hapo mm inabidi uniotee kweli kweli kwa maana mm huwa ni rahisi sana ku flash vitu na kuvisahau baada ya muda mfupi naona ndio weakness yangu kubwa…Kuhusu kujali aisee always family first mkuu no way niko tayari niishi vibaya mm ila sio familia yangu.
 
Fanya biashara yeyote ambayo wateja wake ni wanawake hautojuta,Urembo hautojuta
 
Halooooooh akika sasa nimetambua natakiwa niwe kundi gani hivyo ningependa kujua mtu unatakiwa kua nae katka mahusiano inatakiwa awe na nyota ya ng'e pia?
UHUSIANO WA KIMAPENZI
(NYOTA YA NG'E NA NYOTA YA NG’OMBE)

Tabia ya Nge ya wasiwasi, wivu, hisia kali za kimapenzi na dhana mbaya kwa wapenzi wao hutulizwa na kuzimwa na nyota ya Ng’ombe ambao wana tabia ya utulivu, uaminifu, wasioyumba na wanaopenda kusikiliza wanayoambiwa.
 
Aaaaah chief apa bado uniacha chalinze mzee
 
Ndugu yangu hoja hapa sio aina ya biashara unayotaka kufungua, hoja kubwa hapa ni kwamba, "how do you see yourself in that business?" Kwa maana nyingine ukijiangalia, kujipima, kujitathimini na kujikagua ndani mwako mwenyewe unajiona unaweza kuwa bora kwenye biashara gani kati ya hizo ulizo orodhezesha?

NB: kinachofanya biashara iendelee kusimama na kukua sio jina au aina ya biashara unayotaka kufanya bali ni uelewa wako juu ya biashara ambayo unataka kufanya.

Wapo watu walioambiwa biashara fulani inalipa sana, lakini wao baada ya kuifanya walifeli, na pia kuna watu walioambia biashara fulani haifai kabisa lakini kwao iliwafaa na kufanikiwa sana.

Kwahiyo linapofika suala la kuanzisha biashara nakushauri ujikague mwenyewe kwenye maeneo yafuatayo:
1: kagua ujuzi wako.
2: kagua uwezo wako.
3: kagua uzoefu wako.
4: kagua mazingira yako:
5: kagua jamii yako pale unapotaka kufungulia hiyo biashara.
6: kagua uwezo wa team yako ya ushindi, dhana ya watu utakaofanya nao kazi.
7: kagua muda wako utakaotumia kwenye hiyo biashara.
8: kagua "hobbies and interests" zako juu ya ile biashara unayotaka kufanya. Usije ukafanya biashara ambayo huipendi ili hali tu umeambia inalipa utakuwa mtumwa wa biashara na itakushinda pale utakapokutana na changamoto hata moja tu hautakuwa na moyo wa uvumilivu kuhimili changamoto kwa sababu hata biashara yenyewe huipendi.
9: Anza kidogokidogo kamwe usiweke mtaji wako wote kwa mara moja. Wateja wako ndio watakao kuongoza juu ya bidhaa gani wanahitaji na bidhaa gani hawahitaji. Hivyo utakuwa unaongezea taratibu kulingana na mahitaji ya wateja wako.
10: jifunze juu ya maarifu, ujuzi, uwezo, maadili, sheria, miongozo, taratibu na kanuni zinazohitajika juu ya hiyo biashara, kamwe usikurupuke utaambulia mabua.

TUMIA "NEW OR MODERN MODEL OF BUSINESS STARTS UPS BASICS" inayoitwa " IMAR-MODEL. Unapotafakati juu ya biashara kitu cha kwanza huwa ni WAZO na sio MTAJI ulionao na mengine yanafuatia kwa mtiriri ufuatao:
1: I- stands for Idea (wazo)
2: M- stands for Motivation (Motisha)
3: A- stands for Ability (Uwezo)
4: R- stands for Resources or capital (Mtaji)
NB: endapo utatumia hii "model" hakika hutojutia katika maisha yako ya biashara. "BUT" endapo unataka majuto baadaye, ni juu ya hiyo "approach" ambayo unataka kutumia ambayo kitaalamu inaitwa "RAMI- BUSINESS STARTS UP MODEL"
1: R-stands for Resources or Capital (Mtaji)
2: A- stands for Ability (Uwezo)
3: M- stands for Motivation (Motisha)
4: I- stands for Idea (Wazo)
NB: Ukitanguliza Mtaji "at the the top" then WAZO linakuwa "at the bottom" biashara yako lazima itafeli mara baada ya siku 90 toka kuanzishwa kwako.

MWISHO
Kabla hujaanza biashara yako, kumbuka kuzingatia na kufanya utafiti juu ya P tano zinazohitajika sokoni "5P IN THE MARKET PLACE"
1st P- is People or Customers(poor, middle, Rich) ukiligungua hili litakusaidia sana kuhusu aina ya bidhaa utakayouza na kupanga bei kulingana na "nature" ya wateja wako.
2nd P- is Place or Location of your Business. Utafute sehemu inayoendana na aina ya biashara unayoifanya.
3rd P- is Products, your products should be unique and pecuria plus quality. Bidhaa zako ziwe bora kuendana na mazingira uliyopo.
4th P- is Price, the price should be unique that will attract many customers to come and buy your products. It the quality, best and the cheapest products that win the market.
5th P- is Publicity or advertisements, don't be shy in advertising you products to attract many customers.
NB: You MUST have some Components of FAITH so that when you are TESTED in you business you find yourself FIRM and STRONGER.

I wish you all the best in your business venture!
 
Kamkubwa naona hapa umemaliza kila kitu huu ujumbe utawagusa watu wengi sana[emoji123][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…