Nina mtaji wa million mbili, je unafaa kuanzisha biashara?

Nina mtaji wa million mbili, je unafaa kuanzisha biashara?

bahaticaro

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
100
Reaction score
31
Nina mtaj wa million mbil je unafaa kuanzisha biashara n if yes ni biashara gan mim biashara nilizokuwa nawazia kil nikijaribu kuuliz ambao wanafana wananiambia mtaj million mbil kwahy imekuwa ngumu kidg
 
Subiri wafanya biashara wakuje na wakisha kushauri tafadhali urudishe mrejesho
 
Kama jf ni darasa huru tena la bure basi nami nakupa msaada bure
Kwa 2m wAweza kuanzisha biashara ya cement
Bei ya jumla ya cement sijajua ila nahisi sio zaidi ya 15000
Kwa 15000 unaweza kununua mifuko 100 ambayo itakua 1.5m utabakiwa na 500000 ambayo waweza kukodi fremu na pia gharama ya usafiriahaji ya cement mpaka dukani kwako any way kama imekupa mwanga bofya like
Am sorry sipo clear sana ila inaweza kukusaidia ila kuanza fanya utafiti
 
Back
Top Bottom