Kama jf ni darasa huru tena la bure basi nami nakupa msaada bure
Kwa 2m wAweza kuanzisha biashara ya cement
Bei ya jumla ya cement sijajua ila nahisi sio zaidi ya 15000
Kwa 15000 unaweza kununua mifuko 100 ambayo itakua 1.5m utabakiwa na 500000 ambayo waweza kukodi fremu na pia gharama ya usafiriahaji ya cement mpaka dukani kwako any way kama imekupa mwanga bofya like
Am sorry sipo clear sana ila inaweza kukusaidia ila kuanza fanya utafiti