Nina mtaji wa Tsh 70 milioni nataka kununua gari la mizigo

Joined
Sep 15, 2018
Posts
41
Reaction score
24
Wana JamiiForums samahanini kwa usumbufu, Nina mtaji wa million 70 nahitaji kununua gari ya mizigo ili iweze nipigia dili nyingi na nipate nakurudisha fedha yangu kwa haraka.

Ushauliwenu naomba mnishauri aina gan ya gari inadumu sana na ni nzuri kwa biashara za mizigo kati ya fuso canter na scania na ni kwanini?.

Niko njombe
 
Kaanzishe kilimo cha mikororosho Mil 25. nyingine weka fixed deposit. Magari yatakuletea umaskini., gari zinafaa kwa mtu ambaye ana magari mengi
Nina biashara zangu za viazi miti na mahindi nahitaji gari lakunisaidia katika kaz hizo
 
Mkuu kwenye iyo million 70 unaweza ukachakata vizuri ukapata fuso mbili maana sahivi fuso imeshuka bei sana.

Ila ushauri wangu tumia pesa kununua fuso moja iwe inapiga kazi ,then hapo mbele ya safari unaweza kuongeza nyingine maana utakuwa ume master biashara iyo au unaweza ingiza kiasi kilichobaki kwenye mzunguko wa biashara nyingine
 
ahitaji mpya na nikwann fuso sio tandam au canter

Unajua faida ya fuso ni moja kupata mzigo wa kujaza gari ni haraka kuliko tandam..na mara nyingi wengi wanapenda kutumia fuso maana ata kwenye mizani haisumbui sana
 
Mkuu una ml 45 zinatosha tafuta fiat yenye uwezo wa kubeba mzigo wa tan 15 ambpo anzia na moja njoo dar es salaam nikuonyeshe biashara yakufanya nina hardware ningepata mtu kama wewe mwenye huo mtj wa ml 45 tungefanya kazi ya cement kuwa agent hyo ella yako inarudi kwa mwaka kama hyo hyo..so nitafute tunawez tukashaurina kitu fiat leyland bei zake ni ml 9 ml 10 na matengnezo kidgo..kuhusu hlo ckupatie tabu..ni uwakika kazi ya cement nishafanya
 
Yeye kataka gari ya mizigo na sio business partnership..

Hua siamini katika business partnership, either uwe partnership na mkeo, mmeo, baba au mama..baaaas!.
 
Yeye kataka gari ya mizigo na sio business partnership..

Hua siamini katika business partnership, either uwe partnership na mkeo, mmeo, baba au mama..baaaas!.
Hiii mindset ndio inafanya wabongo wanachelewa kutoka, ukweli ni kwamba kùfanya kitu kikubwa na cha maana lazima ushirikiane na watu. Huwezi kufika mbali kwa kufanya kila kitu mwenyewe.
 
Hiii mindset ndio inafanya wabongo wanachelewa kutoka, ukweli ni kwamba kùfanya kitu kikubwa na cha maana lazima ushirikiane na watu. Huwezi kufika mbali kwa kufanya kila kitu mwenyewe.
Haswaa
 
hvi bado jamaa anataka gari ya mizigo au kaamua kufanya jambo lingine ?
 
Hiii mindset ndio inafanya wabongo wanachelewa kutoka, ukweli ni kwamba kùfanya kitu kikubwa na cha maana lazima ushirikiane na watu. Huwezi kufika mbali kwa kufanya kila kitu mwenyewe.
Hapo umenena. Ni mambo ya uthubutu
 
Kuna nyuzi konki sana za nyuma humu zimeongelea sana hiyo biashara ya magari. Tulia uzitafute naamini utaambulia kitu.
 
Naomba nitumie picha ya hii gari ilivyo ?? Im impressed with ur thinking / idea.

Naipata wapi hyo gari ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…