K KALUNGA New Member Joined Mar 31, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Jul 18, 2013 #1 Mimi ninaishi jijini Mwanza na nina pesa yangu binafsi cash Mil 5....., Nafikiria kuanzisha biashara na najua humu kuna wazoefu wakutosha wa biashara....,Naombeni mawazo yenu wana JF.
Mimi ninaishi jijini Mwanza na nina pesa yangu binafsi cash Mil 5....., Nafikiria kuanzisha biashara na najua humu kuna wazoefu wakutosha wa biashara....,Naombeni mawazo yenu wana JF.
kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 366 Jul 18, 2013 #2 kabla ya kuanzisha thread search .... maana zipo nyingi hapa jukwaa la biashara.