Nina mtu wangu...huo ndo ukweli wangu

hizo zinakuwa kogo tu za sie wadada we penyeza rupia kwa sana, tema madin yanayonunulika utasikia "nilikuwa nae tumeachana".... hii ndo game ya mapenz ilivyo kwa hiv sasa
 
hizo zinakuwa kogo tu za sie wadada we penyeza rupia kwa sana, tema madin yanayonunulika utasikia "nilikuwa nae tumeachana".... hii ndo game ya mapenz ilivyo kwa hiv sasa

Haha ha!
Kwahiyo unapima wapi panalipa zaidi? Au unataka kula keki yako na iendelee kuwepo; yaani wamchuna na huku ukiendelea na Mtu Wako?
 
umbea huo
ushaacha kazi BOT basi ya BOT yaache BOT..
we jali SACCOS yako now lol

Ha ha ha ha!
You have real made my Sunday; sidhani kama leo ntacheka kama nilivyocheka! Haya kaka, goodluck!
 
Ha ha ha ha!
You have real made my Sunday; sidhani kama leo ntacheka kama nilivyocheka! Haya kaka, goodluck!

you are welcome Kaunga..
life is too short kununa nuna..
mchana mwema lol
 
Last edited by a moderator:
aaah kaunga taratibu ndugu!

Nilikuwa nakusamilia tu! Umekaribishwa BOT, as one of the office managers, ujue kuna masecretary pia na God knows how many other titles. Mimi nimehamia Word Bank as a Co Director, so Boss wangu wa zamani kinamkera hicho! LOL
 
na una bahati huko WB hujamkuta DSK..
otherwise ungerudi mbio na nguo mkononi lol
 
1. Inawezekana kweli ana mtu
2. Hakupendi ndio maana katumia mbinu hiyo ili usepe
 
poa mkuu...nilikuwa nafikiria kufanya hivyo..nashukuru kwa kunipa moyo,, anadai mtu wake anasoma Botswana na hajaja mwaka wa tatu sasa...

Hana lolote huyo, komaa mkuu utang'oa tu. Kama angekuwa serious utaona hatakupa hata nafasi ya kuonana na kupiga story kuhusiana na relation na wewe. inawezekana bado anataka muda zaidi ili akusome vizuri, ukiwa mvumilivu at the end atakuvulia tu ile 'nguo ya kwanza kuvaa na ya mwisho kuvua'
 
Ninachokiona dogo kwenye hii scenario ni kwamba,unaponzisha uhusiano you are playing your game nicely,means doing right things and triggering right buttons on woman sense.

Tatizo linakuja ukishapata greenlight unaanza kuwa confortable,ni ukishakuwa confortable you start doing wrong things that implies you are predictable to women,this kill attarction big tym.

Women hates predictive guy,predictive is not attractive,it is clingy and boring.This always comes when a guy confess his feeling to woman too soon,by starting be so nice.

So,stop being boring.......knowing to do right things at right times is the key,that is what you hear the guy has got swagga......means he got game son!

Bottom line,Women wants a man who got balls,because he is attarcive.

So,next tym when you feel like starting loosing it do this to you head to bring back you senses...:frusty:

hizo zinakuwa kogo tu za sie wadada we penyeza rupia kwa sana, tema madin yanayonunulika utasikia "nilikuwa nae tumeachana".... hii ndo game ya mapenz ilivyo kwa hiv sasa

@Merrita umeongea kweli tupu!
 
Utasubiri sana kupata ambao wapo singo.....onesha nia na utofauti ili akuone uko real, acha utoto kila mtu ana mtu....kama jibu hilo linakukatisha tamaa hutopata mtu maisha yako yote...fight,come on.. You are a man!!!
 
Binafsi mume aliyenioa at first alikuta nina mtu,bt nilivyompa tu nafasi ya kupiga story nikaona kuna upekee alionao,and kwa kweli alistruggle zaidi ya miez 8,kwa hiyo kaza buti
 
Huna hela, huna kazi, demu wa nini?

Au ulitaka akukubali kukupangisha foleni kisha uje mwita kicheche?
 
mkuu, hayo hua ni maneneo ya kujikinga tu, after all unataka um-approach mtu muda huo huo akubari, hebu vuta subira. KOMAA,,,,,,,, you have to apply strategic approach unless otherwise you wont get that led
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…