Nina muonekano ambao watu wakiniona hupenda kunishtakia matatizo yao hasa wazee

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Nikiwa bar au hata kwenye vijiwe vya wacheza bao wazee hupenda kunishtakia matatizo yao, na muda mwingine watu wa usalama kama askari polisi huwa wanahisi mimi ni mwenzao sasa sijui huwa nina sura ya kikuda?.
 
nikiwa bar au hata kwenye vijiwe vya wacheza bao wazee hupenda kunishtakia matatizo yao , na muda mwingine watu wa usalama kama askari polisi huwa wanahisi mimi ni mwenzao sasa sijui huwa nina sura ya kikuda?.

Una mwonekano kama wa askari. Sura kavu, makunyazi huna afya ya ngozi wala mwonekano wa maana. Unaonekana kama askari. Badilika. Ule vizuri, ule vizuri na uvae vizuri watu hawatakuona kama askari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…