Du, hata kupiga picha ya passport size hajawahi!Kwa hiyo unadhani sura yako itakua imebadilika kiasi hata Hujui inafananaje??
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli amehamuha, yaani hajikumbuki hata hanafananaje sasa
Hahahha yan weweKwani uko Darasa la ngapi, maana we mtundu kweli mpaka umeweza kujiunga na Jamiiforums!!!!
Unanyoa kwakujipapasa auNanyoa na wembe....mkuu
Kwani yeye ni ke?Wewe mwanamke usipooga wiki tu ni balaa. Je mwaka..... kabila gani wewe ? Kama ni mtani sikushangai ila mumeo anayo kazi
AmehamuaUmehamuha haswaa, Jitahidi.
Hamefanya mahamuzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amehamua
Haya ni mahamuzi makubwa sana haliyohamua huyu muhamuzi[emoji23]Hamefanya mahamuzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekumiss omwana
Jiangalie kwenye kioo wewe mremboBangi zikikuisha uniambie
Hujui hata kuandika utito ndyo mini?Utito unakusumbua.
Hujui hata kuandika "mini" ndio nini?Hujui hata kuandika utito ndyo mini?