Nina ndoto ya kuwa modo, nifanyaje

Nina ndoto ya kuwa modo, nifanyaje

Elia Richard

Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
10
Reaction score
5
Napenda kua modo hatua gani nipitia ili niweze kufika kwenye ndoto yangu au kama kunamtu anaweza kunichukua kuweza kuvaa na kupiga picha kupost mitindo yake Niko tayari mvuta ninao mwili wakuvaa nao
 
Jinsia gani kwanza maana naona una mvuto, uko photogenic na unaitwa Elia
 
Kila la kheri..ila kuwa makini
 
Back
Top Bottom