Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Waungwana mabib na mabwana,
Pisi kali, mabishoo, wakulima, wafugaj, wanamugambo, wajasiriamali, wastaarab, wakorofi nyoooote kwa pamoja elezeen shida zenu hapa.
Rais ajae anaskliza mojamoja na yote anaahid kuyafanyia kazi. Ni mm hap mweny ndot kubwa, rais nijae
WASIFU WANGU
Elimu: Darasa la saba (sio sabab ya kutokuwa rais)
Kaz: muimba singeli mstaarabu
Nawasilisha
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app