Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
NINATOA MAFUNZO YA UKOMANDOO KWA BEI RAHISI SANA.Mazoezi ndo chakula changu nina piga push 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo.
Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my medicine. Niwe pale 92 kj
WTF...🤣Ninatoa mafunzo ya ukomandoo kwa bei nafuu
Njoo ujifunze ukomandoo ua he kuzama swimming pool kizembe kijanaWTF...🤣
Sikuhizi umehamia Arusha?Anza mazoezi ya kujipiga na matofali ya utosi na tumboni kwanza.
Ninatoa mafunzo ya ukomandoo kwa bei nafuu
Huyu alivunjikaga shingo wakati namfundisha, huoni amekunja shingo?View attachment 3271349
Mwanafunzi wa kwanza huyo hapo. Namlipia ada ya mwaka mzima bure.