Nina Nguvukazi Ninaomba Mtaji 250000



Kwa hiyo unamaliza lini degree yako? Nimekuuliza unasoma degree gani niweze kukushauri vizuri

KWa hiyo mwakani mwaka wa nne? Hiyo Degree ya chuo gani tena? Mbona siyaelewi maelezo yako? Ngoja nikuache tu maana naona maelezo yako hayapo sawa.

Hivi mkuu wa chuo utawala pale aliyeteuliwa na rais kwenda TCU anaitwa naini?

http://www.aru.ac.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=179&Itemid=278. Nimepitia website yao hizi ndo kozi zipo hapo kwenye hiki chuo sasa sijui hiyo community imesahaulika?

Pole kwa masaibu. Skillis gani ambazo unazo mpaka sasa hivi? Mfano project writing? Computer applications? Data collection?
Hivi unajijuwa jina lako? Kama hujijuwi basi wewe ni mpumbavuu mwenye mawazo ya kitumwa ambaye unaamini katika kuajiliwa tu, wewe ni bure kabisa.
 
Hivi unajijuwa jina lako? Kama hujijuwi basi wewe ni mpumbavuu mwenye mawazo ya kitumwa ambaye unaamini katika kuajiliwa tu, wewe ni bure kabisa.
Msamehe mkuu...ni mwangwi wa mfumo wetu wa elimu! Jina kalitumia tu..sina hakika kama hata anajua meaning!
 

Kitope umemmaliza binti wa watu kwa maneno yako makali yenye kumaanisha, Waona mwanafunzi amepotea huenda amekufuata PM na mpango kazi wake umshauri zaidi au yupo kimya anauandaa au labda anafuatilia mjadala kimya kimyaa! Labda JF developer waadd feature ya kujua nani anasoma/amesoma post yako.

Mwanafunzi kama unaisoma hii yangu..pia faamu hapa JF pamoja na kuwa na mizaa ila utasaidika kwani kuna shuhuda na mifano hai mingi humu ya watu kusadiwa japo id na avater zetu ndio hivyo tena, ila msaada hukosi labda kama hujielewi kwa kujitetea na sababu nyingi kama ulivyoanza fanaya. Unaulizwa maswali unapiga tu chenga...

Kamata fursa uende.., jua "opportunities are scarce" pia zinatabia yakuto kuja mara mbili au tatu!!!!!
 
nashukuru nimeshasaidika, nikianza biashara yangu nitaleta ushuhuda.
Ahsante Jamii forums
 
nashukuru kwa kuwa concerned ila sijui kwa nini uconclude kwamba niliona ni upuuzi,
na sijakuwepo hewani toka jana. mpango kazi wangu ninao namsubiri mdau aliyejitokeza niufanyie kazi.
 
Hivi unajijuwa jina lako? Kama hujijuwi basi wewe ni mpumbavuu mwenye mawazo ya kitumwa ambaye unaamini katika kuajiliwa tu, wewe ni bure kabisa.
usimhukumu, alikua na mashaka ila ameshajiridhisha.
 
Mdada japo njia unayotumia kupost hapa si sahihi hasa from a business perspective ila sikulaumu, nakupongeza kwa kua angalau unafikiria kujaribu, sio wengi wana mawazo ya kuanzisha biashara zao wenyewe.

Labda nikuulize maswali machache unisaidie kuyajibu.

1. Kwa nini umechagua packaging ya matunda na mbongamboga pekee? Umefanya research yoyote kujua kua it can be a good business kulingana na location uliyochagua?

2. Una plan yoyote either written down au hata kichwani (ambayo unaweza write down) ya jinsi ulivyopanga kufanya hiyo biashara? unaweza ukaanza na kwa nini umechagua 250K na sio more or less, products utatoa wapi na kwa bei gani, muda gani unahisi zitachukua kuuza, competitors wako ni akina nani? are they better kuliko wewe au utakua unaoffer something unique? utafanya nini kuattract more customers na kuhakikisha unatoa high quality service? au unafikiria just something very small ambacho kila mkulima mdogomdogo anafanya?

3. Katika ideal situation (yaani mipango yako kichwani inaenda sawa na unavyofikiria) biashara yako unaiona kwenye level ipi? Inaweza ku~grow ikafikia size gani, returns zake je ni kiasi gani na katika timeframe ipi (just estimations sio lazima ziwe right)?

Mimi nahisi 250K ni either unafikiria a very small business au ume~underestimate how much work is needed ku~run hii business. Unaweza nijibu maswali yangu hapa au kama unahisi una a secret sauce hutaki watu wajue unaweza ni~pm.
 
Graph
nimechagua kulingana na uhitaji wa watu katika eneo hili.
nimechagua 250000 kwa kuwa nimefanya analysis na kuona itatosha msingi wa biashara.
products natoa sokoni,
na baadhi mashambani (napafahamu)
bidhaa zinaweza kuchukua siku moja mpaka tatu.
competitors nitaweza kushindana nao kwa kuwa nafanyia marekebisho baadhi ya mambo ambayo kwake hamna na yanahitajika na consumers.
Nitaleta mzigo mpya vifungashio aina tofauti na iliyozoeleka na huduma ya delivery pia.
kama biashara ikifanikiwa najiona nikiwa na vegetables and fruits store kubwa ambayo itaoffer varieties zote zinazohitajika.
pia kusindika matunda na mbogamboga.
Ni kweli 250000 ni biashara ndogo tu ambayo natarajia kuikuza na kufikia malengo niliyoyaweka kwa miaka 4 mbeleni.
 
Hata mimi nilimuuliza haya maelezo kwenye PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…