Nina PASS ya DSEE ya 2.3 GPA na nataka niendelee na elimu ya Chuo kikuu. Nifanyaje?

daveposta

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
52
Reaction score
8
Naombeni msaada wana Jf , Kama mjuavyo entry requirement minimum ni GPA 2.7 nchini Tanzania.

Ningependa niendelee na elimu ya Chuo kikuu, lakini naona sijafikia sifa

Je nifanyaje?
 
Jaribu kucheck kuna vyuo vina kitu kinaitwa mature entry, nadhan kinahusika hapa mkuu, anza kucheck mapema kama una nia ya dhati mkuu
 
Nashukuru bwana Jose. Hivyo vyuo ni kama kipi?. Manake nilisomea DSEE masomo ya physics and chemistry
 
ujaribu kutafuta chuo ambacho utaanza kusoma pre entry course y mda mfupi na ufanye mtihan ndo uanze course kamili
 
Wabunge wa CCM toka zamani ni wachakachuaji na ndiyo wanao ongoza kuwa vilaza bungeni.
 
Vipo vingi ila check MUM,TEKU ,na SAUT ya kilimanjaro (mwenge), nafikiri hyo itakuwepo
 
Kaka uliepo st. John hebu jaribu kuuliza kisha tujulisha wana jukwaa kwa sababu niwengi sana tunatatizo kama hilo mimi mwenyewe nilifanya DSEE nikapata 2.4 na sasa nimeshindwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu
 
Check udsm,hyo program ipo,ndo iliyomuingza benard membe hapa The hill.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…