Nina pesa nataka kubadilishana na gari

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
1,858
Reaction score
2,303
Wakuu nisiwachoshe ninapesa nahitaji gari bajeti kuanzia 10m na isizidi 15m kulingana na gari itakayopatikana mwenye nayo aje pm
 
Bei gani hiyo shuka below 2 digit vinginevyo. --- --,``
 
wewe ukiwa na pesa, Bakhressa atakuwa na nini?
 
Jamani niliyoipata inaonekana jamaa wanataka kuniingiza king tumekubaliana kesho nikalipie lakini jamaa anataka nimtangulizie 2m kabla ya kwenda nimemuona msanii hivyo utafutaji unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…