Nina photocopy tu, nifanyaje ikubalike

Nina photocopy tu, nifanyaje ikubalike

Shetemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
923
Reaction score
933
Wakuu mimi nina nyaraka flani ya ardhi, origino imepotea bali nimebaki na kivuli. Je nifanyeje hiki kivuli kikubalike mahakamani? Naomba msaada kwa wanaojua.
 
Wakuu mimi nina nyaraka flani ya ardhi, origino imepotea bali nimebaki na kivuli. Je nifanyeje hiki kivuli kikubalike mahakamani? Naomba msaada kwa wanaojua.
nenda kwa mwanasheria ukadhibitishe. utagongewa muhuri then itakubarika kisheria
 
Back
Top Bottom