Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake

Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake

Nsibwene

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
227
Reaction score
160
Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake, mfano accelerator wire, spare za vipuli vya engine n.k kuna mtu anaweza kunisaidia naweza kupata wapi
 
Weka picha ya pikipiki/kifaa unachotafuta
 
Ina Cc ngapi, hiyo cable inafanyiwa mods usijali. Engine yako ni ya push rod au timming chain
 
Nafikiri
Ina Cc ngapi, hiyo cable inafanyiwa mods usijali. Engine yako ni ya push rod au timming chain
Ahsante, nafikiri ni ya push road (plae chini ya taili la mbele "axle" kuna kuna tundu wazi, na je vipuri vingine naweza kupata wapi?
 
Back
Top Bottom