Nina point 28 kwa ngazi ya form four

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,596
Reaction score
2,226
Nina point 28 nataka kujiuna na lab technology mnsaidieni wakuu
 
...usihofu kijana,tunae role model wetu nape,hivi sasa ana masters. fuata nyayo zake utafanikiwa tu,nenda kachukue form ujiunge...
 
unacheza ligi gani kwani maana inapointi nyingi sana kumzidi ata simba lazima uchikue likombe msimu huu kwani umebakiza mechi ngapi nilutabilie jembe
 
D.I.T. huwezi pata kwa alama hizo.Kama vp nenda UALIMU chuo binafsi coz cha serikali huwezi pata nafasi kwa alama hizo.
 
Wewe je kama una 4 ya 26 na unataka kusoma mechanical engineer dit kupitia pre entry course inawezekana
 
Jiunge na jeshi alafu utajiendeleza baadae
 
...usihofu kijana,tunae role model wetu nape,hivi sasa ana masters. fuata nyayo zake utafanikiwa tu,nenda kachukue form ujiunge...

Iseee kumbe jamaa alikua na point nyigi vile
 
Kwa sasa umechelewa. Kama una d mbili ktk masomo ya science unaweza kupata nafasi ya lab tech upande wa afya. Jaribu mwakani
 
Nataka D.I.T nitafurukuta kweli?

nenda nyumbani ikifika mwezi wa 6 kachukue fomu ya kujiunga na pre entry course utakipiga miezi 3 ukimaliza utapigwa mtihani ushindani ni mkubwa ukifaulu vzr utapewa nafasi
 
D ya math,D ya phs,D ya geo C ya bios,D ya chem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…