Nina project nahitaji kuwa na a very serious partner

Nina project nahitaji kuwa na a very serious partner

Baba Mama

Senior Member
Joined
Apr 1, 2018
Posts
107
Reaction score
138
Nature ya Project:

Preparation of educational and training resources

Cost of the Project:

Office rent: TZS 70,000 pm x 6 months = 420,000

Other initial financial resources required for the Project:

12,000 x 4 x 10 = 480,000
1,000 x 250 = 250,000

Kuwe na laptop ama desktop kwenye office

Total pre liminary cost: TZS 1,150,000 (Hazikwepeki). But, there is no more investment after this maana itaendelea ku generate yenyewe.

Expected Flow of Revenue:

1,000 per year (minimum) x TZS 70,000 = TZS 70,000,000 (minimum).

NB:
Sina mashaka na revenues za huu mradi. Nimesha test na nimeona inakwenda with a very high demand.

Nimeshatest model of its operation

Kimsingi kila model (namna ya kuiendesha na kuhudumia) nimeitest.

Kwa nini namhitaji mtu?

Kimsingi, simhitaji mtu kwa sababu ya financial support (Ningeweza kudunduliza tu na kupata hiyo hela hata kuuza smart phone ningeuza), sana sana nahitaji mtu aggressive mwenye ya roho ngumu ya kusaka pesa bila huruma yaani mpambanaji mwenye wadhifa wa upambanaji

Hata kama huna mtaji, lakini nikaridhika na upambanaji wako tunaweza kufanya kazi pamoja pesa zipo mtaani

Sifa za partner nayemhitaji:

1. Awe humble and with lots of passion

2. Age 35+ (ladies and gentlemen)

3. Mengine nitamcheki mwenyewe

4. Awe mwana JF ama guest

Muhimu:
Sikupi abc za mradi zaidi, hadi nitakapoona yeah unaweza kunifaa, sitaki mtu kichomi

JF lengo lake ni kuwaunganisha watu, naomba lengo hilo tutumie vema

Contacts nitaweka (email)

Karibuni sana.
 
Umeweka umri mkubwa sana, unaweza pata pia kijana ambae yupo more committed hata wa miaka 21
 
Huyu jamaa ameongea mpango Wa maana lakini anashindwa kujiamini kuweka email address yake. Inaonekana hayuko makini
 
Back
Top Bottom