nina-kithembe
Member
- Sep 14, 2013
- 63
- 14
Kijana mwenzenu nimepewa hela na kaka yangu kama mtaji wa kuanzia biashara yeyote. Nina digree ya uhasibu. Akili yamgu yote nilikua nimeweka kwenye kuajiliwa tu.Nimetafuta kazi weeee...nimechoka. Sasa sitaki tena kuapply kazi..nataka nifanye biashara. Mawazo yenu ni muhimu sana ili pesa hii isipotee. Sijui naanza na biashara gani kwa hela hizi. Nataman zizae na biashara ieleweke. Sitak kabisa badae blaza aanze kuchonga....siunaona..yule mzembe sana...hajiwez kwa lolote..nimepoteza pesa zangu...