nina-kithembe
Member
- Sep 14, 2013
- 63
- 14
Kijana mwenzenu nimepewa hela na kaka yangu kama mtaji wa kuanzia biashara yeyote. Nina digree ya uhasibu. Akili yamgu yote nilikua nimeweka kwenye kuajiliwa tu.Nimetafuta kazi weeee...nimechoka. Sasa sitaki tena kuapply kazi..nataka nifanye biashara. Mawazo yenu ni muhimu sana ili pesa hii isipotee. Sijui naanza na biashara gani kwa hela hizi. Nataman zizae na biashara ieleweke. Sitak kabisa badae blaza aanze kuchonga....siunaona..yule mzembe sana...hajiwez kwa lolote..nimepoteza pesa zangu...
Kijana mwenzenu nimepewa hela na kaka yangu kama mtaji wa kuanzia biashara yeyote. Nina digree ya uhasibu. Akili yamgu yote nilikua nimeweka kwenye kuajiliwa tu.Nimetafuta kazi weeee...nimechoka. Sasa sitaki tena kuapply
kazi..nataka nifanye biashara. Mawazo yenu ni
muhimu sana ili pesa hii isipotee. Sijui naanza na biashara gani kwa hela hizi. Nataman zizae na biashara ieleweke. Sitak kabisa badae blaza aanze kuchonga....siunaona..yule mzembe sana...hajiwez kwa lolote..nimepoteza pesa zangu...
Tsh.6, 000, 000 mbona ndogo sana! Ulipe kodi ya pango, ununue vitendea kazi na bado ubakiwe na hela ya kununulia bidhaaa!
Labda uanze na genge la kisasa katika eneo lililo changamka lenye watu wengi; uuze matunda mbalimbali, viungo vya mboga na mboga za
majani. Siyo mbaya unaweza kutokea hapo.
kabla ya yote jipatie kipande cha ardhi,
Kijana mwenzenu nimepewa hela na kaka yangu kama mtaji wa kuanzia biashara yeyote. Nina digree ya uhasibu. Akili yamgu yote nilikua nimeweka kwenye kuajiliwa tu.Nimetafuta kazi weeee...nimechoka. Sasa sitaki tena kuapply kazi..nataka nifanye biashara. Mawazo yenu ni muhimu sana ili pesa hii isipotee. Sijui naanza na biashara gani kwa hela hizi. Nataman zizae na biashara ieleweke. Sitak kabisa badae blaza aanze kuchonga....siunaona..yule mzembe sana...hajiwez kwa lolote..nimepoteza pesa zangu...
Kijana mwenzenu nimepewa hela na kaka yangu kama mtaji wa kuanzia biashara yeyote. Nina digree ya uhasibu. Akili yamgu yote nilikua nimeweka kwenye kuajiliwa tu.Nimetafuta kazi weeee...nimechoka. Sasa sitaki tena kuapply kazi..nataka nifanye biashara. Mawazo yenu ni muhimu sana ili pesa hii isipotee. Sijui naanza na biashara gani kwa hela hizi. Nataman zizae na biashara ieleweke. Sitak kabisa badae blaza aanze kuchonga....siunaona..yule mzembe sana...hajiwez kwa lolote..nimepoteza pesa zangu...
Ha ha ha haa !! Mkuu Mzee wa rula, umenifanya nisome mara mbili mbili labda kuna maandishi siyaoni kwenye thread!! Humtendei haki mleta hoja. Au mnafahamiana personally? Mkuu nina kithembe unaloo!!! Kwi kwi kwiiii !!!Ila wewe jamaa nadhani unacheza na akili za watu. Umeoa wakati huna kazi maana mkeo alikuwa anakuzingua mpaka ukaamua kuwa malaya na kurudi usiku wa manane home?
Yote kwa yote sumu ya biashara ni starehe, starehe ujue ni nyumba ya umaskini.
tafuta fremu sehemu iliyochangamka, nenda kilosa hapo au kyela/mbarali, nunua mchele/mpunga wa milioni 4 utakulipa...otherwise fungua m-pesa
Kijana mwenzenu nimepewa hela na kaka yangu kama mtaji wa kuanzia biashara yeyote. Nina digree ya uhasibu. Akili yamgu yote nilikua nimeweka kwenye kuajiliwa tu.Nimetafuta kazi weeee...nimechoka. Sasa sitaki tena kuapply kazi..nataka nifanye biashara. Mawazo yenu ni muhimu sana ili pesa hii isipotee. Sijui naanza na biashara gani kwa hela hizi. Nataman zizae na biashara ieleweke. Sitak kabisa badae blaza aanze kuchonga....siunaona..yule mzembe sana...hajiwez kwa lolote..nimepoteza pesa zangu...
Ha ha ha haa !! Mkuu Mzee wa rula, umenifanya nisome mara mbili mbili labda kuna maandishi siyaoni kwenye thread!! Humtendei haki mleta hoja. Au mnafahamiana personally? Mkuu nina kithembe unaloo!!! Kwi kwi kwiiii !!!
Hapo nimekuelewa Mkuu !!Mkuu wala simjui ila thread zake mwenyewe anazozileta zinajichanganya sana. Hebu fuatilia tread alizoanzisha ujiuonee jinsi anavyojichanganya.