J Jobseeker2020 New Member Joined Sep 7, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Sep 8, 2020 #1 Habari zenu wana JamiiForums. Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu mwaka jana(2019) shahada ya ugavi na manunuzi. Natafuta kazi au sehemu ya kujitolea, kwa aliyekua na msaada tafadhali share. Asante.
Habari zenu wana JamiiForums. Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu mwaka jana(2019) shahada ya ugavi na manunuzi. Natafuta kazi au sehemu ya kujitolea, kwa aliyekua na msaada tafadhali share. Asante.