... kujishikiza (internship, volunteer au kazi) ili walau maisha yaendelee maana hali imekuwa mbaya kwa upande wangu na familia kwa ujumla haswa ukizingatia Mimi ndie tegemezi na Mzee alishafariki siku nyingi...
Kama kazi haijatangazwa, ni vizuri akipeleka maombi moja kwa moja kuliko kutuma kwa EmailUwezo wa kukupa ajira sina lakin naweza kukupa mbinu..
Zote ni njia sahihi na bora, lakin ya kupeleka hiv hiv unauhakika gan kama atakayepokea atajali? Maana hautaweza kumfikia ceo, md au hr ni ngumuKama kazi haijatangazwa, ni vizuri akipeleka maombi moja kwa moja kuliko kutuma kwa Email
ukipeleka kwa mkono muda mwingine zinaishia kwa walinzi😂😂Zote ni njia sahihi na bora, lakin ya kupeleka hiv hiv unauhakika gan kama atakayepokea atajali? Maana hautaweza kumfikia ceo, md au hr ni ngumu
Kuonana na CEO au HR bila appointment naye ni ngumu sana, ikitokea hiyo ni bahati, kwahiyo ukimpa mlinzi/receptionist documents zako mwambie akupelekee kwa muhusika hapo hapo, alafu akuletee feedback kama zimepokelewa au zimekataliwa, then mengine yatafuata huko mbeleni.ukipeleka kwa mkono muda mwingine zinaishia kwa walinzi[emoji23][emoji23]
mpe kijana nafasi mkuu hata Kama atahitaji kufundishwa, hakuna alozaliwa anajua, even a master was once a beginner. Msaidie kijana kitaani hapasomeki.Engineer,unaweza ku overhaul engine ya 20KVA,500KVA?unauzoefu wa kufanya preventive maintainance kwenye diesel generators,air-conditions,unajua welding kidogo?
Au ukipata inabidi tukufundishe?
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
KIONGOZI HAPO ERB UNAFNYAJE ILI WAKUTAFUTIE INTERN NAMI NIMEHITIM NIT AUTOMOBILE KITAA NI KUGUM MNOMwana TET mwenzangu pole aisee, ila nenda pale Alistair Pale kurasini karibu na uhamiaji ,wanaweza kukupokea kwa ajiri ya intern,...
Jaribu na simba logistics pale matumbi kama unaelekea tabata relini omba intern au kazi
Hapo umeniacha hoi engine zinakuwa rated na KVAEngineer,unaweza ku overhaul engine ya 20KVA,500KVA?unauzoefu wa kufanya preventive maintainance kwenye diesel generators,air-conditions,unajua welding kidogo?
Au ukipata inabidi tukufundishe?
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa vizuri mkuu na shukrani kwa ushauri wako, ila kumbuka hapa mimi naomba msaada(connection) ili nipate kazi.Japo kila mmoja anajua kuwa kufanya kazi ndiko hufanya maisha yasonge, unapoomba kazi usiseme unatafuta pa kujishikiza ili mambo yako yaende inatakiwa useme yale unayoweza kuyafanya mradi wa mtu ukafanikiwa ili ashawishike kukuchukua wewe na si mtu mwingine.
Kwenye hili wengi sana wanafeli hapa maslahi yako binafsi hutakiwi kuyapa priority unapoomba kazi uataendelea kukosa kila siku.
Waajiri wengi wanapenda kusikia namna unavyoweza kupush mradi wake ukafanikiwa na sio wewe uweke vipaumbele vyako.
Shukrani mkuu ushauri wako nimeupata na nitaufanyia kazi.Uwezo wa kukupa ajira sina lakin naweza kukupa mbinu
1. Njia rahisi, andaa cv yako vizuri mpe mtu akuhakikie sana sana HRs waliobobea, tafuta personal emails au za makampun, tuma maombi bila kujali wametangaza nafasi au hawajatangaza.
2. Kwenye utumaji wa maombi hapo.
Anza na introduction nzuri yenye kingereza kirahisi na chakueleweka. Kisha ambatanisha na cv, vyeti vyako vya shule kwenye pdf moja, kisha weka vyeti vingine vya ujuzi tofauti tofauti.
Jitahid zingatia hayo utakuja kunishukuru.
mkuu tuko fani moja aisee...mie nimegraduate 2018 pale N.I.T...mpaka sasa bado mambo magumu..KIONGOZI HAPO ERB UNAFNYAJE ILI WAKUTAFUTIE INTERN NAMI NIMEHITIM NIT AUTOMOBILE KITAA NI KUGUM MNO
imekuelewa vizuri mkuu na shukrani kwa ushauri wako, ila kumbuka hapa mimi naomba msaada(connection) ili nipate kazi.Jitahidi unapoomba kazi usitaje matatizo yako mana kazi mtu hapewi kwa kuhurumiwa bali anapewa kwa uwezo wake.
Jikite zaidi kueleza uwezo wako na mambo ambayo umewahi kuyafanya kwa mafanikio na unayojivunia.
Eleza zaidi utaongezaje thamani kwa mwajiri na sio kazi itasaidiaje maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
NJitahidi unapoomba kazi usitaje matatizo yako mana kazi mtu hapewi kwa kuhurumiwa bali anapewa kwa uwezo wake.
Jikite zaidi kueleza uwezo wako na mambo ambayo umewahi kuyafanya kwa mafanikio na unayojivunia.
Eleza zaidi utaongezaje thamani kwa mwajiri na sio kazi itasaidiaje maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi unapoomba kazi usitaje matatizo yako mana kazi mtu hapewi kwa kuhurumiwa bali anapewa kwa uwezo wake.
Jikite zaidi kueleza uwezo wako na mambo ambayo umewahi kuyafanya kwa mafanikio na unayojivunia.
Eleza zaidi utaongezaje thamani kwa mwajiri na sio kazi itasaidiaje maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
AbsolutelyJapo kila mmoja anajua kuwa kufanya kazi ndiko hufanya maisha yasonge, unapoomba kazi usiseme unatafuta pa kujishikiza ili mambo yako yaende inatakiwa useme yale unayoweza kuyafanya mradi wa mtu ukafanikiwa ili ashawishike kukuchukua wewe na si mtu mwingine.
Kwenye hili wengi sana wanafeli hapa maslahi yako binafsi hutakiwi kuyapa priority unapoomba kazi uataendelea kukosa kila siku.
Waajiri wengi wanapenda kusikia namna unavyoweza kupush mradi wake ukafanikiwa na sio wewe uweke vipaumbele vyako.