MduduAli
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 551
- 968
Habari za wakati huu Ndugu,
...Ninaamini Hali ninayo ipitia sio mimi peke yangu ninayo pitia, Haya maisha yana mambo mengi ya kutufunza na zaid ya kutubadilisha na kuwa mtu wa tofauti kabisa.
Nina Shahada ya Usimamizi wa Miradi (Project Management). Baada ya kumaliza chuo nilipata nafasi ya Sales kwenye kampuni X mjini Mwanza.
Maisha yali badilika baada ya mdogo wangu aliyekuwa anasoma Sekondary Dar Es salaam kupata ajari ya gari, Mimi kama kaka ilitakiwa niwajibike Kwa kila kitu mwanzo mpka mwisho wa msiba, nilitumia muda wa wiki mbili mpaka kurudi tena Mwanza na kupewa taarifa ya kusubiri mpaka nitakapo pewa barua ya kuendelea na kazi ulikuwa wakati mgumu.
Nilifanya kila kazi ilimradi nipate chochote Lkn ni kama nilikuwa naishi maisha yale Yale kila siku, kula kwa kujibana ilimradi madogo wafike shule na nyumbani msosi uwepo, niliamua kuja mjini Dar Es Salaam nikiamini huku fursa ni nyingi. Lakini ndo mambo yanazidi kuniwia Magumu.
Nimekua nikifanya kazi ngumu sana, ila bado naamini kwenye kupambana japo siku ya tatu sasa sina kazi, vibarua havipatikani, dogo anapiga simu nilimuahidi nitamnunulia uniform.. washkaji sometime wananiona kama nimeanza kuchanganyikiwa.
Yeyote mwenye hali kama yangu, Nakupa moyo kesho pia ni nafasi ya kufanikisha malengo yako, bila ya kuharibu malengo ya mtu mwingine.