Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Kweli?? I wishPole sana,.naskia watu wamefunga hadi na ndoa humu..
Nilisikia hivyo mimi...wewe you wish what??😃Kweli?? I wish
Haha bila shaka ni watu wa namna zote uzijuazo.Sijui ni watu wa namna gani ..waheshimiwa , viongozi wa dini , freemasons , TISS ??!
Mi natamani kuonja penzi la mdada wa JFWakuu.
Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.
Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?
Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Jamani si unaona watu wanawish kukutana?? Au wewe hutaki??Nilisikia hivyo mimi...wewe you wish what??😃
Hahahh mimi sijawish bado...Jamani si unaona watu wanawish kukutana?? Au wewe hutaki??
Kama wewe mwenza[emoji85][emoji85]Pole sana,.naskia watu wamefunga hadi na ndoa humu..
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Kweli?? I wish
😂😂😂Mimi na nani mwenza??woiiiKama wewe mwenza[emoji85][emoji85]
Na naniliu....[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi na nani mwenza??woiii
Mtaje bhanaa....si wetu sote mm na ww...Na naniliu....
Wakuu.
Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.
Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?
Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?