Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nimekuja nduki my Dada na kilaji nimeacha kwa meza, tayari nipo waswanu hapa nang'ata sharubu tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Kama mademu walio nifollow kwa my profile walishaniambia mahala walipo ila uzembe wangu tu
 
Utakuja kukutana nao tu mkuu...wengine haswa hawa watoto wakike wengine mashauzi kibao humu but ukikutana nao wabovu kichizi....nishawahi kutana nao baadh....wakiwa humu mashauzi utadhani wapo classic but kutana nao sasa...kuna comment huwa nikiziona humu nabaki kucheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…