Nina shida inayonikabili wana jf

Consolitha

Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
20
Reaction score
20
Nasumbuliwa na endometritis,nimetumia sindano aina ya powercef lkn tangu nilipoanza kutumia sijapata hedhi ya mwezi huu na pia kula yangu ni ya shida sana,nimekuwa mtu wa kuchukia chakula na pia nikila nakula kiasi kidogo sana najihisi nimeshiba au kuhisi kutapika...Naomba ushauri wenu juu ya hili.
 
Ntafute pm nkusaidie mpendwa
 
Hiyo sindano uliitumia kwa maelekezo ya Dr wa hospital uliyoenda kutibiwa awali?
 
Habari pole kwa matatizo.

Una jina zuri nimekimbilia kusoma huu uzi kwa sababu ya jina lako.
 
Asante sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…